Katibu Tawala, Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka leo Januari 23, 2025 katika hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa...Read more

Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe kwa huduma bora kutoka kwa madaktari wabobezi...
Read moreHospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe, wagonjwa tunaowahudumia ni wa Rufaa na tunafanya upasuaji wa dharura na uliopangwa.
Huduma tulizonazo ni pamoja na :
Ni Idara ambapo wagonjwa wa hali mbalimbali za matibabu au upasuaji ambao wanavyo vigezo vya uandikishaji wanapewa malazi . IPD ina sehemu zifuatazo na huduma za matibabu, upasuaji, magonjwa ya watoto, magonjwa ya wanawake, kabla ya kuzaa na baada ya ku...
readmoreKatibu Tawala, Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka leo Januari 23, 2025 katika hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Ushauri ya Hospitali ya Rufaa...Read more
UGONJWA WA HOMA YA INI (HEPATITIS) : MAMBO MUHIMU YA KUFAHAMU
Ini ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi zaidi ya 500 ; moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kutoka kwenye damu.
Kutokana na sababu mbalimbali kama pombe iliyopita k...
read moreFAHAMU KUHUSU HOMA YA EBOLA
Ugonjwa wa Homa ya Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vya ebola. Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa ya milipuko yajulikanayo kama homa za virusi vinavyo sababisha kutoka damu mwilini.
Kuna aina tano za ...
read moreVIRUSI VYA CORONA NI NINI?
Kuna vimelea vingi vya magonjwa duniani kote kama Bakteria , Virusi ,Fangi ,Protozoa na Parasaiti
Aghalabu katika makundi yote haya Kuna aina za vimelea ambavyo huwa hatarishi mno na huua haraka wanyama wanyonyeshao na nde...
read more