Nafikaje NJOMBE RRH
Hospitali inapatikana Mgodechi eneo ambalo ni juu ya kilomita 7 kutoka katikati ya mji. Kutokea stendi ya mabasi ya zamani chukua usafiri wa daladala za igagala hadi kijiji cha wikichi mbele kidogo ya kibao cha shule ya msingi wikichi mkono wa kushoto utakutana na kibao cha hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe