Upasuaji
Posted on: December 26th, 2024Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe, wagonjwa tunaowahudumia ni wa Rufaa na tunafanya upasuaji wa dharura na uliopangwa.
Huduma tulizonazo ni pamoja na :
- upasuaji mkubwa ( laparatomy)
- mshipa maji ( hydrocelle)
- mshipa ngili (Hermia) zote
- uvimbe
Matarajio yetu huduma zitazidi kuboreshwa kadri muda unavyoenda.