UWASILISHAJI WA MATOKEO YA TAFITI YA KUANGALIA HUDUMA ZA UUGUZI NA UKUNGA

Saturday 21st, June 2025
@Ukumbi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe
Mtaalamu wa tafiti Ndg. Evaristus P Makota, akiwasilisha matokeo ya utafiti alioufanya kuangalia huduma za uuguzi na ukunga zinazotolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe