MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI - NJOMBE
Thursday 2nd, January 2025
@HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA NJOMBE
Maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani mkoani Njombe yamefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe Tarehe 12/05/2022
Katika siku yao hii Wauguzi, wakiongozwa na Mgeni Rasmi pamoja na Mganga Mfawidhi walitembelea wagonjwa wodini na kuwapa zawadi mbalimbali.