Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) imefanya ziara ya ukaguzi na Uhakiki wa Ubora wa Huduma za Radiolojia Mkoani Njombe kwa kutembelea vituo vipatavyo 32 ikiwemo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Nj... Read More
News
Jeshi la Uhamiaji Mkoa wa Njombe limeadhimisha siku ya wahamiaji Duniani, ambayo hufanyika kila tarehe 18, Desemba kwa kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe, ambapo ziara yao iliam... Read More
WIZARA YA AFYA YAFANYA USIMAMIZI SHIRIKISHI WA HUDUMA ZA UTENGAMAO, TIBA SHUFAA NA HUDUMA ZA USIKIVU
Timu ya Usimamizi Shirikikishi katika huduma za Utengamao, Tiba Shufaa, Sikio pua na koo kutoka Wizara ya Afya imefanya Ukaguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe leo Desemba 11, na... Read More
Jumla ya wananchi wapatao 1756 wamepatiwa matibabu katika Kambi ya Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi waliohudumu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe huku kati yao 94 wakifanyiwa upasuaji kw... Read More
Ili kuepukana na tatizo la Watoto kuzaliwa kabla ya wakati, pamoja na kuzaliwa na uzito pungufu; jamii imeaswa kuzingatia mtindo bora wa Maisha ikiwemo lishe bora, kuachana na uvutaji wa sig... Read More
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba, Wizara ya Afya Dkt. Hamad Nyembea mapema leo Oktoba 30, ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ambapo amekagua utoaji huduma katika maeneo mbalimbali ... Read More
Watumishi kutoka Ofisi ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Njombe wameadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutoa mahitaji mbalimbali katika Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, Ho... Read More
Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Bi. Judica Omari amekutana na Timu ya Menejimenti ya Uendeshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe (RRHMT) leo Julai 4 na kupata taarifa ya hali ya utoaji h... Read More
Pata kusoma Jarida la Mwezi Aprili na Mei kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe kwa kubonyeza hapa chini BOFYA HAPA KUSOMA... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe imetoa mafunzo ya siku mbili kwa watumishi wapya wapatao 43, lengo likiwa ni kuwaelekeza kanuni, taratibu, miongozo mahali pa kazi, pamoja na utoaji wa h... Read More