Sasa unaweza kusoma online au kupakua (download) jarida la Mwezi la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ili kuangalia habari zilizojiri, matukio, huduma zilizotolewa na kuifahamu zaidi Taas...Read more
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe, wagonjwa tunaowahudumia ni wa Rufaa na tunafanya upasuaji wa dharura na uliopangwa.
Huduma tulizonazo ni pamoja na :
- upasuaji mkubwa ( laparatomy)
- mshipa maji ( hydrocelle)
- mshipa ngili (Hermia) zote ...
Ni Idara ambapo wagonjwa wa hali mbalimbali za matibabu au upasuaji ambao wanavyo vigezo vya uandikishaji wanapewa malazi . IPD ina sehemu zifuatazo na huduma za matibabu, upasuaji, magonjwa ya watoto, magonjwa ya wanawake, kabla ya kuzaa na baada ya ku...
readmore-
Aug 18
-
May 10
- Posted on: February 22nd, 2024
JARIDA LA MWEZI JANUARI | NJOMBE RRH 2024 LIMETOKA
- Posted on: January 26th, 2024
UJUMBE MKUBWA KATIKA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA OFISI YA MGANGA MFAWIDHI, NJOMBE RRH
- Posted on: December 12th, 2023
NJOMBE RRH KUANZISHA KLINIKI MAALUMU KWA WATOTO WENYE KISUKARI
- Posted on: January 23rd, 2024
JARIDA LA NJOMBE RRH MWEZI DISEMBA | SOMA NA KUPAKUA HAPA
Jumatatu-Ijumaa
- From 06:00 to 07:15
- From 12:00 to 13:00
- From 04:00 to 05:00
Jumamosi-Jumapili
- From 06:00 to 07:15
- From 12:00 to 13:00
- From 04:00 to 05:30
- From 11:39 PM to 11:39 PM
- Kliniki ya akina mama From 08:00 AM to 03:30 AM
- kliniki- ya- watoto From 08:00 AM to 03:30 AM
- Kliniki ya Mifupa From 11:39 PM to 11:39 PM
- Kliniki ya magonjwa ya ndani From 11:39 PM to 11:39 PM