Kliniki ya Ugonjwa wa Kisukari kwa watoto inatarajiwa kuanza hivi karibuni katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Njombe baada ya tatizo hilo kuonekana lipo nchini. Uanzishwaji wa klinik... Read More
News
Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Njombe kupitia Kitengo cha Uhusiano, Habari na Mawasiliano, huchapisha Jarida la kila mwezi kwa lengo la kutangaza huduma zinazotolewa, kutoa elimu kwa Umma kuhusu... Read More
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MPANGO WA RAIS MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN WA KUONGEZA WATAALAMU BINGWA NA BOBEZI WA AFYA NCHINI KWA MWAKA 2023/2024. “SAMIA HEALTH SUPER SPECIALISATION PR... Read More
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe Dkt Lazaro Jumbo Jassely na Bi. Rehema Willium Nyongole kutoka kitengo cha huduma bora wametoa zawadi ya pesa taslimu pamo... Read More
Katika kuadhimisha siku ya tiba ya viungo duniani Tarehe 08/09/2022 wataalamu kutoka Hospitali Ya Rufaa Mkoa wa Njombe Bw. Rasul Chihako na Bi. Paulina Chitalula wametoa huduma mbalimbali ka... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya ukaguzi wa ujenzi unaoendelea (Jengo la huduma ya Afya ya Mama na Mtoto) katika Hospitali ya Rufaa y... Read More
Tarehe 08/08/2022 kukagua hali ya utoaji wa huduma na maendeleo ya ujenzi wa majengo mbalimbali unaoendelea, Ikiwa ni maandalizi ya kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiw... Read More
Watumishi wa ajira mpya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawezeshaji wa Mafunzo ELekezi kwa Watumishi wa ajira mpya yaliyofanyika kua... Read More
Maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani mkoani Njombe yamefanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe Tarehe 12/05/2022 Katika siku yao hii Wauguzi, wakiongozwa na Mgeni Rasmi pamo... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe walioshiriki mafunzo ya huduma bora kwa mteja wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa vyeti vyao. mafunzo yaliyofanyika ... Read More