Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

ZIARA YA WAZIRI

Posted on: August 6th, 2022

Tarehe 08/08/2022 kukagua hali ya utoaji wa huduma na maendeleo ya ujenzi wa majengo mbalimbali unaoendelea, Ikiwa ni maandalizi ya kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ambaye  atafika hospitalini hapa kukagua na kupokea taarifa ya ujenzi wa Hospitali hii