Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

MAFUNZO ELEKEZI KWA WAAJIRIWA WAPYA

Posted on: August 2nd, 2022

Watumishi wa ajira mpya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawezeshaji wa  Mafunzo ELekezi kwa Watumishi wa ajira mpya yaliyofanyika kuanzia Tarehe 01 - 03/08/2022 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe.