Contact Us | FAQ | Mails | Complaints |

JARIDA LA NJOMBE RRH MWEZI DISEMBA | SOMA NA KUPAKUA HAPA

Posted on: January 23rd, 2024

Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Njombe kupitia Kitengo cha Uhusiano, Habari na Mawasiliano, huchapisha Jarida la kila mwezi kwa lengo la kutangaza huduma zinazotolewa, kutoa elimu kwa Umma kuhusu magonjwa mbalimbali na elimu ya namna ya kujikinga na matibabu yake.

Pia hutoa mwelekeo wa namna mteja anavyoweza kupata huduma za kibingwa zinazotolewa katika Hospitali yetu.

Jarida hili haliuzwi na wala halipo kwa minajiri ya biashara, bali kutoa elimu na kuufahamisha Umma juu ya Huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Njombe.

Hili ni Jarida la Mwezi Disemba 2023, soma na pakua hapa bure

https://shorturl.at/yFT25